MADAWAA YA KULEVYA
Madawa ya kulevya ni hatari sana kwa binadamu kwa kuwa husababisha magonjwa kama mapafu na kuharibu utindio wa ubongo . Mfano wa madawa hayo ni kama kokaini heroini bangi miraa . Kuna watu wengi walioathiriwa na madawa ya kulevya, lakini yanazidi kuenea kwa sababu ni biashara kubwa inayoingiza pesa nyingi. Serikali inatakiwa kutoa elimu kuhusiana na madhara yatokanayo na matumizi ya madawa ya kulevya, kwani ni hatari kwa maisha ya binadamu na kwa jamii . Mara chache yanaweza kusaidia wagonjwa kwa kuwafanya wasisikie maumivu makali mno.